dimecres, 9 de juny del 2010

Jambo Bwana


Jambo, Jambo bwana,
Habari gani Mzuri sana.
Wageni, mwakari-bishwa
Kenya yetu Hakuna Matata

Kenya nchi nzuri
Nchi ya maajabu
Nchi yenye amani,
Kenya yetu Hakuna matata...

Hakuna matata...
Hakuna matata...

Cap comentari:

Publica un comentari a l'entrada